-
Tanzania started the topic Timu ya Watumishi wa Bunge ya Mpira wa miguu in the forum
Society in the group Society
Timu ya Watumishi wa Bunge ya Mpira wa miguu imeifunga Timu ya Waheshimiwa Wabunge magoli 4-1 wakati wa Bonanza la kimichezo la Bunge ambalo limefanyika leo Jijini Dodoma.




-
Tanzania started the topic Timu ya Mpira wa Pete (Netball) in the forum
Society in the group Society
Timu ya Mpira wa Pete (Netball) ya Waheshimiwa wa Bunge ikicheza na Timu ya Watumishi wa Bunge wakati wa Bonanza la kimichezo la Bunge ambalo limefanyika leo Jijini Dodoma.




-
Tanzania started the topic Mchezo wa kukimbiza kuku in the forum
Society in the group Society
Waheshimiwa wa Bunge wakishindana na Watumishi wa Bunge kwenye mchezo wa kukimbiza kuku wakati wa Bonanza la kimichezo la Bunge ambalo limefanyika leo Jijini Dodoma.


-
Tanzania started the topic Wananchi wote kuendelea kupanda miti in the forum
Society in the group Society
Nawaomba wananchi wote kuendelea kupanda miti ili kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na kufaidika na fursa za Uchumi na kijamii.




-
Tanzania started the topic Chama Cha Mapinduzi (CCM) in the forum
Society in the group Society
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampuni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Amani visiwani Zanzibar.




- Load More Posts
Media
Photos
Videos
Audios
Files
Sorry, no items found.




















