-
Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe yupo Mkoani Iringa akishiriki Mkutano wa Wadau wa Chai Nchini unaojumuisha Mikoa Mitano
-
Tanzania started the topic Miundombinu ya reli ya treni ya umeme (SGR) in the forum
Society in the group Society
Tutazidi kuwaambia wananchi wetu wajue thamani ya miundombinu ya reli ya treni ya umeme (SGR) hii na faida zake na kwamba hii ni mali yao na wao ndio wawe walinzi wa kwanza kuhakikisha kwamba miundombinu inakuwa ni ya faida na kutunzwa.

-
Tanzania replied to the topic Makampuni ya India imesajiliwa kupitia Kituo in the forum
Society in the group Society
Tutazidi kuwaambia wananchi wetu wajue thamani ya miundombinu ya reli ya treni ya umeme (SGR) hii na faida zake na kwamba hii ni mali yao na wao ndio wawe walinzi wa kwanza kuhakikisha kwamba miundombinu inakuwa ni ya faida na kutunzwa

-
Tanzania started the topic Eneo la Kagongwa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga in the forum
Society in the group Society
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa eneo la Kagongwa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wakati akiwa ziarani katika mkoa tarehe 18 Januari 2023.




-
Tanzania started the topic Walimu wanawajibu wa kuhakikisha nidhamu in the forum
Society in the group Society
Walimu wanawajibu wa kuhakikisha nidhamu, maadili, uzalendo na utanzania wa mtoto unafundishwa na kushawishi jamii jinsi gani mtoto awe,
hivyo ni vyema tukatoa motisha kwa walimu nchini ili kuongeza ari ya utunzaji na ufundishaji wa watoto wetu,” amesema Dkt. Charles Msonde


- Load More Posts
Media
Photos
Videos
Audios
Files
Sorry, no items found.







hivyo ni vyema tukatoa motisha kwa walimu nchini ili kuongeza ari ya utunzaji na ufundishaji wa watoto wetu,” amesema Dkt. Charles Msonde




