-
Tanzania started the topic Wananchi wote kuendelea kupanda miti in the forum
Society in the group Society
Nawaomba wananchi wote kuendelea kupanda miti ili kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi pamoja na kufaidika na fursa za Uchumi na kijamii.




-
Tanzania started the topic Chama Cha Mapinduzi (CCM) in the forum
Society in the group Society
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampuni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Amani visiwani Zanzibar.




-
Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe yupo Mkoani Iringa akishiriki Mkutano wa Wadau wa Chai Nchini unaojumuisha Mikoa Mitano
-
Tanzania started the topic Miundombinu ya reli ya treni ya umeme (SGR) in the forum
Society in the group Society
Tutazidi kuwaambia wananchi wetu wajue thamani ya miundombinu ya reli ya treni ya umeme (SGR) hii na faida zake na kwamba hii ni mali yao na wao ndio wawe walinzi wa kwanza kuhakikisha kwamba miundombinu inakuwa ni ya faida na kutunzwa.

-
Tanzania replied to the topic Makampuni ya India imesajiliwa kupitia Kituo in the forum
Society in the group Society
Tutazidi kuwaambia wananchi wetu wajue thamani ya miundombinu ya reli ya treni ya umeme (SGR) hii na faida zake na kwamba hii ni mali yao na wao ndio wawe walinzi wa kwanza kuhakikisha kwamba miundombinu inakuwa ni ya faida na kutunzwa

- Load More Posts
Media
Photos
Videos
Audios
Files
Sorry, no items found.













